Mwenzenu ni mwanachuo, nasoma sheria, na sisi ndiyo wa kwanza kuanzisha faculty hii hapa chuoni, hivyo hatuna msaada sana, Hivyo basi nitawasumbua sana naomb msichoke. tatizo langu kwa sasa nikuwa, ni documenti gani itatakiwa kuwa kuna defective charge sheet na mimi ni A/state, na charge hiyo in alternative. na document hiyo/hizo zikuwaje. kama kuna mtu ana utaalamu tafdhali sana ni rushie kwakutumia emmail.
wanaumeclass@gmail.com pia ninamba material mengine ya criminal procedure. please