Maada tutani

Maada tutani

MASEETO

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2013
Posts
261
Reaction score
86
Mwenzenu ni mwanachuo, nasoma sheria, na sisi ndiyo wa kwanza kuanzisha faculty hii hapa chuoni, hivyo hatuna msaada sana, Hivyo basi nitawasumbua sana naomb msichoke. tatizo langu kwa sasa nikuwa, ni documenti gani itatakiwa kuwa kuna defective charge sheet na mimi ni A/state, na charge hiyo in alternative. na document hiyo/hizo zikuwaje. kama kuna mtu ana utaalamu tafdhali sana ni rushie kwakutumia emmail. wanaumeclass@gmail.com pia ninamba material mengine ya criminal procedure. please
 
defective charge ni charge yenye mapungufu. remedy yake unaweza kuandaa charge iliyo sahihi ukaibadilisha na ile yenye mapungufu. ninavyo vitabu vinaongelea hayo yote, bofya hapa halafu tuwasiliane. bofya SHERIA KWA KISWAHILI
 
Back
Top Bottom