Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
- #21
OFA YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI...Punguza bei chif tumwagike manake usawa huu wa mzee wa chato themanini sio mchezo
Kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi kitauzwa kwa punguzo la 30% sawa na 56,000/= tu popote ulipo utaletewa bure.....!
Lipia kwa namba +255715865544 au +255755865544. Na kisha tuma majina yako matatu na mshali ulipo.
Nje ya Tanzania nunua kupitia mtandao wa amazon.com