Mkuu Yeriko,
Documentary zinasemaje ni nani hasa wenyeji wa kale wa Taifa la Israel?
Labda tuanzie hapo, maana hawa tunaowazungumzia/wanaozungumzwa leo pengine ni muendelezo wa Utawala wa Rumi ya Kale.
Ili tujadili mada hii vizuri ni vizuri tukazifahamu historia za nchi kama Iran, Iraq, Syria, Misri, Saudi Arabia na Ethiopia.
Tukistiki kwenye sehemu moja tunaweza kupoteza maana kwani yawezekana kuna untold story hidden about the origin of civilization within the Africa Continent.
Nimesema bara la Afrika kwa sababu, yawezekana kinachosemwa leo ni kupotosha watu, kwani yawezekana Mashariki ya kati ni sehemu mojawapo muhimu katika bara la Afrika iliyopokwa /kutengwa kivyake kwa maslahi wanayoyajua waliofanya hivyo either kwa makusudi au bahati mbaya.
We need to think critically why Ngorongoro crater.
Tusije tukashangaa miaka ijayo tukaambiwa nchi ya ahadi ya wana wa Israel ni Tanzania/Uganda.