Marekebisho kidogo: Leo ni tarehe 29 march,sio trh 28..
Mimi mwanzo nilikuwa simalizi wiki 2 bila kula ban, lakini kwa sasa kidogo nina muda mrefu sijala ban nimejitahidi kuwa mpole.
Nilikuwa nalimwa ban hasa kwenye jukwaa la dini.
Duuh. Hata kwenye dini unakula ban? Basi wewe utakuwa mtu wa motoni:A S shade: