Maadhimisho ya Muungano 2022: Rais Samia asamehe wafungwa 3,826

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Katika kuadhimisha Miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Rais Samia Suluhu Hassan amewasamehe wafungwa wapatao 3,826 kwa masharti mbalimbali

Msamaha huo utahusisha Wafungwa wanaotumikia adhabu kwa makosa ya usafirishaji wa Dawa za Kulevya ambao wamekaa gerezani kuanzia miaka 20 na kuendelea

Aidha, pia utahusisha Wafungwa wanaotumikia adhabu kwa makosa ya wizi au ubadhirifu wa Fedha na Mali za Umma ambao wamekaa gerezani kuanzia miaka 15 na kuendelea




 
Aah kwahiyo kwasasa nchi inaongozwa kutokea Washington siyo. Basi powa
 
Yeye pia tunamsamehe kwa kuwa Marekani leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…