- Thread starter
- #21
Inashangaza Sana kuona watu wanatoka ovu humu...eti 88.haina faida.Tatizo.letu ni kujiona unajua kila kitu .Kama mtu hujatambelea Viwanja vya Moro,Arusha,Mbeya uone jinsi wakulima wanbyojifunza utakuja kuleta ubishi was kitoto humu.Kuna mwingine anasema Maonesho yanafanyika Mjini ,huku wakulima wakiwa Vijijini...Hii ni argurment ya kijinga ,hivi unajua kuwa Wakulima.wakubwa wanaishi mijini, au tunafikiri Kilimo ni like chha mkono pekee?
Aliyefuta Maonesho haya no mjinga Kama wajinga wengine!
Mimi husafiri kwenda Morogoro kuchota Elimu kwa wakulima,hususani kutoka kwa Wadau wa SUA,na ninajua faida take!
Nyie waandika Madokezo tulieni kimyaa