Maadhimisho ya sherehe za miaka 58 ya Muungano, Dkt. Philip Mpango aziongoza Dodoma

Leo ni maadhimisho ya miaka 58 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar na sherehe zimeshaanza kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma na anaeongoza ni makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango
Kwa nini sherehe zinafanyika ukumbini badala ya viwanja vya wazi? Ni nini lengo la utaratibu huu?
 
Mama kiguru na njia ughaibuni wiki na ushehe!!
Mama ana mafaili 'mazito' mezani. Amejipa off kwanza akayatafakari kabla hajadondoka sahihi.
Moja ya mafaili yanahusu tenguzi na teuzi za baadhi ya wazito. Usimbeze, pengine na wewe ukaula zamu hii. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kwani aliyeomba kuungana na mwenzake ni Nyerere au Karume?
Suala la nani kaomba siyo la muhimu Mwagito. We elewa tu kuwa huu Muungano Samia asingevuka Chumbe bila passport.

We jiulize kwa nini makao makuu ya Muungani ni Dodoma na siyo Mji Mkongwe?

Jiulize Zanzibar walikuwa consulted yalipohamishiwa Dodoma toka Dar?
 
Vipi Mbowe, Zitto na Mrema nao wamepata mwaliko?
 
Wapi iliandikwa lazima ifanywe uwanjani?
Nafkiri kiitifaki ya kijeshi anayekagua gwaride la vyombo vya ulinzi ni Rais tu ambaye ni Amiri jeshi na si vinginevyo, so wameona wafanye ukumbininkwa mtindo wa kikongamano kwakuwa Rais hayupo maana ndio mamlaka yake. (ni uelewa wangu huo)
 
Wafanyakazi wajiandae kisaikorojia,inawezekana hata mei mosi hakasepa, sasahivi kapata kichaka cha kujificha USA 🀣🀣🀣
 
Nafkiri kiitifaki ya kijeshi anayekagua gwaride la vyombo vya ulinzi ni Rais tu ambaye ni Amiri jeshi na si vinginevyo, so wameona wafanye ukumbininkwa mtindo wa kikongamano kwakuwa Rais hayupo maana ndio mamlaka yake. (ni uelewa wangu huo)
Bora umesema kwa uelewa wako
 
Mama ana mafaili 'mazito' mezani. Amejipa off kwanza akayatafakari kabla hajadondoka sahihi.
Moja ya mafaili yanahusu tenguzi na teuzi za baadhi ya wazito. Usimbeze, pengine na wewe ukaula zamu hii. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Kaka kwa speech hizi za "kuleni kwa urefu wa kamba zenu" "bei zitaendelea kupanda na kupanda"

Tumeula wa chuya na mawe juu!!
 
Hilo linafikirisha
 
Muungano hauna tija. Sasa kama upande wa pili wote wanaususia itakuaje kwa mfano
 
Hata mei mosi anaweza asiwepo maana watumishi wanamsubiri sana anaweza ishia huko huko pole watumishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…