Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Maadhimisho hayo yaliyojaa shamra shamra, shangwe huku Jina la mama Samia likiinuliwa Juu mawinguni yameenda vizuri hadi kupelekea mgrni rasmi ambaye ni diwani wa kata hiyo kutoa zaidi tani moja na nusu za mchele kwajili ya shule zote zilizopo katani hapo baada ya wakina mama kutoa changamoto zao kwenye risala!
Nasema hivi huyu dada Afisa maendeleo ya Itamboleo ni hatari ingine , Makonda part 2 maana ni jasiri hatari... Maana uwezo wa kukusanya mamia ya watu tena Kata yenye changamoto za miundo mbinu kwa kweli apewe maua yake!
Kweli Mungu amemjalia uwezo wa kuhamasisha jamii na watu wakamkubali! Ujasiri wake umemfanya asifiwe na kila mtu aliyefika kwenye maadhimisho hayo!
Pongezi kwa diwani maana uchaguzi 2025 mambo yatakuwa swaaafi👏👏👏👏
Diwani ambaye ni mwenyekiti wa halamashauri hiyo amewaheshimisha kina mama maana katoa mamilioni ya mipesa pamoja na chakula kwawanafunzi mashuleni aisee!
Mama Samia mitano Tena!
Diwani mitano Tena!