Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Siku za hivi karibuni kumekuwa na kelele na harakati nyingi sana kutoka kwa wenye mamlaka na raia wengi kuhusu suala la maadili katika nchi hii.
Kujali huku madili kumefikia kiwango cha ajabu na sasa tunaona hata midoli inayowekwa kwenye maduka ya nguo kuonyesha fashion (mannequin) ikipigwa maarufu baadhi ya sehemu.
Tuneona waziri wa habari akitangaza mpango mkakati wa kulinda maadili ya nchi na kuhaidi kufanya uwekezaji mkubwa eneo hilo ilk kudhibiti anachoona ni maadili mabovu katika mitandao ya kijamii.
Tumeona wizara ya elimu ikishughulika kwa nguvu na vitabu inavyosema vinaharibu utamaduni wa wa Mtanzania.
Tunaendelea kuona kelele kubwa zikipigwa katika mitandao ya kijamii na raia wa kada zote hadi walala hoi wakilalamikia kuharibika kwa maadili huku wakisema vitendo vya ushoga vinazidi kushamiri.
Katika taifa lenye watu makini wanaotaka kujiletea maendeleo halisi kuna vitu vya kuzingatia, maadili ni jambo la mwisho kabisa kwasababu hayo ni maisha binafsi ya watu.