Maadmin wa magroup ya Whatsapp acheni kutuchangisha michango, maisha magumu

Kwaiyo kabisa umeshindwa kutofautisha R na L? Nilitaka kuchangia nini sijui ila hili li mwandiko limenipoteza kabisa,
 
Duh! Huu uandishi ni kiboko aisee, kwenye r kuna L na kwenye L kuna r na mazagazaga mengine kibao tu kama vile makange ya mbuzi! Hahahaahaa!
[emoji16][emoji16][emoji16] mwalimu wa kiswahili shule ya sekondar jamii forum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…