loliondokwetu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 1,376
- 1,752
Huo uandishi ata darasa la saba amekuzidi, mkuu we ni MEMKWA nn!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuchat tu, ila hera zinazokusanyiwa eti zikaanzishie saccosWhat are the Vision & Mission of those groups?
nimesema hera zinakusanywa kwa aadi ya kuanzisha sacossSasa na hiyo miradi mnayoambiwa mchangie mnaiona lakini?
Sawa std 4 leaver!andika wewe
Usitoe michango hiyo kama unaona hakuna cha kueleweka...nimesema hera zinakusanywa kwa aadi ya kuanzisha sacoss
Yaweza kua ni graduet mkuuHuo uandishi ata darasa la saba amekuzidi, mkuu we ni MEMKWA nn!!
Ujinga wako wa kwanza unaanzia hapo kwenye kujiita boy kwani unaonekana girl bila kujiita boy?Habali za jioni wakuu
nina kelo inayonisumbua muda mrefu,sana leo naomba kuitoa hadhalani.
ni kuhusu maadmin wengi wa magroup ya whatsapp haswa yanayojumuisha member wa kutoka jamiiforums wamekuwa na tabia ya kuanzisha michango isiyo na kichwa wala miguu
SHUBAMITIIIIIII utasikia eti tutoe michango ya kusaidizana kira mwezi kuwe na maripo ,maqdimini wengine wanasema eti kila mwezi tuchangie michango ya kuanzisha miradi. mbaya zaidi michango hii hii imekuwa kama razima, mimi imenibidi niripe kwa sababu ya aibu na nisije kutolewa sababu nimekutana na wana kwenye group na tumezoeana.
Maadmin mkome hii tabia mnafukwaza sana tunashindwa kuwaambia tu, admin kakaa huko mipango yake ya hela imehalibika anakuja kwenye group anawaambia tuanzishe mradi mala sijui mfuko wa kusaidizana na kila member amatakiwa atume hela kwa adimin, inaboa sana. kira mtu apambane na hari yake, mkizingua nawataja wote. hizo pesa tulizolipa kwenu sahivi mnazizungushia kwenye biashala zenu sahivi mnakenua meno nje SHUBQMITIIIII
mkuu umeongea kweri, yaani group limeanzishwa mtaji ni sisi wajingaAroo mnariwa.....kwani nini urikubari kutoa namba yako kujiunga na ri grupu la watu msiofaamiana historia zenu na wara hamuonani uso kwa uso zaidi ya majina bandia yariosajiriwa humu??? haroo ukiona kundi rorote la wasap rimeanzishwa ujue shabaha kubwa ni michango. Haroo kuishi kwa kutegemea michango di dariri za kushindwa kuzarisha na kujitegemea mwenyewe. Ire ni sawa sawa na kamari, au mikeka au upatu ambapo sasa hivi watu hawataki hata kurima wanatarajia hera za miujiza. Haroo usipokuwa makini , hata kama wewe ni mtumishi mshahara wako utaishia kwenye michango ya magrupu huku na wewe unaota rabda na mimi siku moja nitachangiwa kama wa tu wa NNE MZUKA na BANKO NJENJE wanavyoota rabda kesho watavuna bira jasho.
usjiunge kabisa maadmin hawakawii kukwambia kuna mchangoSina grupu hata moja mie
TehKumbe kuna magroup ya kusaidia miradi vijijini?
Bila shida mnaisaidia Serikali vizuri.
toa ndugu ..toa ndugu "" ulichonacho hiyo """Mimi hayo ma group ya whatsapp hawataki hata kuniona dadeki zao. Kuna group walitaka nitoe mchango nikawauliza wa nini eti kusaidia watu vijijini. Sasa nikauliza mimi naweza kuwa mkamataji hela nasikia miguno tu. Nikasepa zangu
kumbe wajua kikristo ...leo nimekubambaAkikujibu uniite Miller yaan
hahaandio tunachangishwa mimi pesa zangu nimelipa ili nisionekane namna tofauti, ila roho inauma sana