Maadmin wa magroup ya Whatsapp acheni kutuchangisha michango, maisha magumu

Maadmin wa magroup ya Whatsapp acheni kutuchangisha michango, maisha magumu

Habali za jioni wakuu

nina kelo inayonisumbua muda mrefu,sana leo naomba kuitoa hadhalani.

ni kuhusu maadmin wengi wa magroup ya whatsapp haswa yanayojumuisha member wa kutoka jamiiforums wamekuwa na tabia ya kuanzisha michango isiyo na kichwa wala miguu

SHUBAMITIIIIIII utasikia eti tutoe michango ya kusaidizana kira mwezi kuwe na maripo ,maqdimini wengine wanasema eti kila mwezi tuchangie michango ya kuanzisha miradi. mbaya zaidi michango hii hii imekuwa kama razima, mimi imenibidi niripe kwa sababu ya aibu na nisije kutolewa sababu nimekutana na wana kwenye group na tumezoeana.

Maadmin mkome hii tabia mnafukwaza sana tunashindwa kuwaambia tu, admin kakaa huko mipango yake ya hela imehalibika anakuja kwenye group anawaambia tuanzishe mradi mala sijui mfuko wa kusaidizana na kila member amatakiwa atume hela kwa adimin, inaboa sana. kira mtu apambane na hari yake, mkizingua nawataja wote. hizo pesa tulizolipa kwenu sahivi mnazizungushia kwenye biashala zenu sahivi mnakenua meno nje SHUBQMITIIIII
Ujinga wako wa kwanza unaanzia hapo kwenye kujiita boy kwani unaonekana girl bila kujiita boy?

Pili ufala zaidi ni kutoa pesa kwa jambo usiloliamini eti kisa aibu! Kha...
 
Aroo mnariwa.....kwani nini urikubari kutoa namba yako kujiunga na ri grupu la watu msiofaamiana historia zenu na wara hamuonani uso kwa uso zaidi ya majina bandia yariosajiriwa humu??? haroo ukiona kundi rorote la wasap rimeanzishwa ujue shabaha kubwa ni michango. Haroo kuishi kwa kutegemea michango di dariri za kushindwa kuzarisha na kujitegemea mwenyewe. Ire ni sawa sawa na kamari, au mikeka au upatu ambapo sasa hivi watu hawataki hata kurima wanatarajia hera za miujiza. Haroo usipokuwa makini , hata kama wewe ni mtumishi mshahara wako utaishia kwenye michango ya magrupu huku na wewe unaota rabda na mimi siku moja nitachangiwa kama wa tu wa NNE MZUKA na BANKO NJENJE wanavyoota rabda kesho watavuna bira jasho.
 
mkuu umeongea kweri, yaani group limeanzishwa mtaji ni sisi wajinga
 
Kumbe kuna magroup ya kusaidia miradi vijijini?

Bila shida mnaisaidia Serikali vizuri.
 
Huu ujumbe unatuhusu wote au ni maadmin tu

Ukinijibu nitarudi

aitiviiiiiiii,maraaaaa!!!
 
Mimi hayo ma group ya whatsapp hawataki hata kuniona dadeki zao. Kuna group walitaka nitoe mchango nikawauliza wa nini eti kusaidia watu vijijini. Sasa nikauliza mimi naweza kuwa mkamataji hela nasikia miguno tu. Nikasepa zangu
toa ndugu ..toa ndugu "" ulichonacho hiyo """
 
yaaani unaanza tu kujiunga ktik group la watsaap kiboya boya ..kama hao ni watu wasio julikana je "??" mtakuja kupotezwa aisee""
 
Back
Top Bottom