Maadui wa Tanzania wafikia watano

Maadui wa Tanzania wafikia watano

Tena hiyo Polisi ndo hatari, wale jamaa hawatumiagi akili kabisa.
 
Habari za leo wana JF!

Zamani Mwalimu Nyerere atuambia maadui wa kweli wa Nchi hii walikuwa watatu yaani ujinga, maradhi na umasikini. Lakini miaka 60 baada ya uhuru maadui wameongezeka badala ya kupungua. Kutoka maadui watatu hadi maadui watano.

Bahati mbaya zaidi wajinga wa sasa ni wale walioenda shule lakini hawajaelimika na hawatumii elimu yao kwa akili.

Maadui wa sasa kufuatana na ukubwa wao ni kama ifuatavyo;
  • POLISI
  • UJINGA
  • MARADHI
  • UMASIKINI
  • CCM
Polisi ni kikwazo kikubwa kwa Nchi hii kufika kule tunako taka kwenda. Ni polisi ndio wanao tukwamisha, siyo tu kwa tabia yao ya kupenda rushwa na kubambikizia watu kesi, kilicho kibaya zaidi ni tabia yao kushirikiana na CCM kuiba kura.

Jioni moja mwaka 2020, nilipewa lift na Askari polisi mmoja mida ya jioni siku moja baada ya uchaguzi, akawa anazungumza na wenzake niliowakuta mle ndani kuwa kazi imeisha, bado kidogo kule Zanzibar, lakini muda siyo mrefu polisi wataleta utulivu. Lakini mmoja wao akasema ila kazi ilikuwa ngumu sana, bila kushitukia mapema upinzani wangechukua majimbo mengi sana. Wakatolea mfano wa jimbo ambalo Mimi nipo, wakasema kati ya kata 17 jamaa walishinda kata 12, wakimaanisha CHADEMA, lakini kwa kazi walioifanya polisi kata zote zimeenda CCM.

Hao maadui wengine bado wapo, lakini kwenye kundi kaingia CCM. Huyu ni adui mbaya sana kwasababu siyo tu anatutia hasara kwenye mikataba mibovu lakini pia anauza Nchi yetu kidogo kidogo na mwisho wa siku tutajikuta wote tupo utumwani.

Ukifikiri sana huoni sababu ya kuwa na Jeshi au Usalama wa Taifa. Jiulize hawaoni kuwa Wanasiasa wanatupeleka kubaya?
Ungeanza ni hiyo namba 5
 
Thread yako ni kueneza chuki
 
SAA100 anaongia namba ngapi
 
🤣🤣🤣umetaja polisi kwenye listi yako,wa kwanza kabisa,Sasa nikupe zoezi Kama Kuna polisi nchi hii ana division one ya point 7 Hadi 12,ajitokeze hadharan,tumpe tuzo🙏
Wengine walipewa vyeti na wengine waliingia after 1st degree ...wapo mkuu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]umetaja polisi kwenye listi yako,wa kwanza kabisa,Sasa nikupe zoezi Kama Kuna polisi nchi hii ana division one ya point 7 Hadi 12,ajitokeze hadharan,tumpe tuzo[emoji120]
Kwa huko yawezekana ikawa ni kweli ila kwa TPDF ningekutajia.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]umetaja polisi kwenye listi yako,wa kwanza kabisa,Sasa nikupe zoezi Kama Kuna polisi nchi hii ana division one ya point 7 Hadi 12,ajitokeze hadharan,tumpe tuzo[emoji120]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom