Maafa mapya: 10,000 waliokata rufaa kupinga matokeo ya kidato cha IV ya mwaka 2012 wafeli zaidi!

Maafa mapya: 10,000 waliokata rufaa kupinga matokeo ya kidato cha IV ya mwaka 2012 wafeli zaidi!

Sas hii inamaanisha waliofeli ni wengi kuliko tulivyoambiwa. Jamani shule hazina waalimu wa kutosha , hazina vitabu. Na kwa bahati mbaya watoto wa siku hizi hawapendi kabisa kujisomea wenyewe tofauti na miaka ya 80 na 90 . Wanafunzi walikua na moyo wa kujisomea wenyewe. Tena hata kipindi hicho hapakua na waalimu tena shule za sec zilikua chache. Watoto siku hizi wana mabo mengi mno, sijui viongozi wajao watakuaje tu . Sipati picha nikifikiria baada ya 50 yrs mambo yatakuaje.
 
Back
Top Bottom