Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Wafungishane tu huko, Mungu anahukumu yao!Mbona wavaa rozali wanafungishana ndoa za jinsia moja makanisani huko Uingereza!?
Ingelikuwa ni wewe ungelimsaidia Mungu kuwalipua Kwa kuvaa mabomu kiunoni!
Mungu mwenye nguvu hahitaji msaada wa kiumbe kiitwacho binadamu, anajitete yeye kama yeye! Upo bwashee