Swahili_Patriot
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 358
- 831
Toa sadaka kidogo, nenda kaone mwenyewe hakuna atakayekupa habari za uhakika. All so called waandishi wa habari are afraid maana Serikali is trying to conceal information.Ni takriban wiki 2 sasa tangu nilipoiona habari ya mafuriko ya rufiji dam. Habari ilieleza kuwa sio chini ya kaya 1000 zimeathiriwa na maji ya mafuriko yaliyotokana na maji kujaa kwenye dam kutokana na mvua nyingi. Frankly nilitaman kujua mengi zaidi kwenye hili. Kwa waliopo karibu n eneo la tukio ninaomba mtupe full info juu ya hili. Nashangaa kwann hii habari imefumbiwa macho. Wanaficha nn hadi kuizika habari nzito kama hii
Ni takriban wiki 2 sasa tangu nilipoiona habari ya mafuriko ya rufiji dam. Habari ilieleza kuwa sio chini ya kaya 1000 zimeathiriwa na maji ya mafuriko yaliyotokana na maji kujaa kwenye dam kutokana na mvua nyingi. Frankly nilitaman kujua mengi zaidi kwenye hili. Kwa waliopo karibu n eneo la tukio ninaomba mtupe full info juu ya hili. Nashangaa kwann hii habari imefumbiwa macho. Wanaficha nn hadi kuizika habari nzito kama hii
Sasa umejuaje kuwa imefumbiwa?Ni takriban wiki 2 sasa tangu nilipoiona habari ya mafuriko ya rufiji dam. Habari ilieleza kuwa sio chini ya kaya 1000 zimeathiriwa na maji ya mafuriko yaliyotokana na maji kujaa kwenye dam kutokana na mvua nyingi. Frankly nilitaman kujua mengi zaidi kwenye hili. Kwa waliopo karibu n eneo la tukio ninaomba mtupe full info juu ya hili. Nashangaa kwann hii habari imefumbiwa macho. Wanaficha nn hadi kuizika habari nzito kama hii