Nipo hapa kigonsera hapa kuna maafari ya kidato cha sita hakika hapa ktk ukumbi hapatii matu?maini shule imachoka vibaya huu ukumbi si ule mnaoujua mliosoma hapa. Mgeni rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mwambungu lakini amewakilishwa. Risala inaonyesha matatizo ni mengi sana hasa ya uchakavu wa miundo mbinu. Ebu tusemeni kuhusu hili. Nawasilisha