Maafari ya kidato cha sita kigonsera sekondari

Maafari ya kidato cha sita kigonsera sekondari

ligendayika

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2012
Posts
1,183
Reaction score
198
Nipo hapa kigonsera hapa kuna maafari ya kidato cha sita hakika hapa ktk ukumbi hapatii matu?maini shule imachoka vibaya huu ukumbi si ule mnaoujua mliosoma hapa. Mgeni rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mwambungu lakini amewakilishwa. Risala inaonyesha matatizo ni mengi sana hasa ya uchakavu wa miundo mbinu. Ebu tusemeni kuhusu hili. Nawasilisha
 
Wanawataja viongozi waliosoma hapa ameanza na Mkapa,................Majaliwa hakika hapa miundo mbinu imechoka kabisa najaribu kuweka picha du inakataa ngoja niendelee
 
Mwakilishi wa mkuu wa mkoa ambae pia ni mkuu wa wilaya wa mbinga anawaasa wanafunzi waachane na kauri za nchi haitatawalika duh nahisi sasa siasa pande zote za nchi
 
Nimezunguka hapa shuleni kwakweli hali si njema haya majengo yamechoka sana yanahitaji ukarabati wa nguvu nimetamani hata serkari ingeuza shngingi moja kwa hata mil 200 angalau Kaigo ingeonekana au sijui wamuite yule mzee wa mvi (EL) apige harambee labda ataitoa hii shule hali si hali hapa kaigo ya fr mapunda
 
Back
Top Bottom