BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Uamuzi huo umetolewa na Mkuu wa Utumihsi wa Umma, Felix Koskei dhidi ya Mdhibiti Mkuu wa Viwango Nchini Kenya na Maafisa wengine 26 wa serikali waliohusika na kutoa Vibali vya kuruhusu kuuzwa Tani 1,000 za Sukari iliyokwisha muda wake.
Taarifa imeeleza kuwa mifuko 20,000 ya Sukari iliingizwa Nchini humo mwaka wa 2018 na kuzuiwa na Mdhibiti wa Viwango ilitangazwa kuwa haifai kwa matumizi ya Binadamu na ilihifadhiwa kwaajili kuharibiwa na kubadilishwa kuwa Kemikali ya 'Ethanol'.
Kwa mujibu wa Koskei, uchunguzi umebaini kuwa Maafisa hao walipuuza majukumu yao, bila kujali athari itakayotokea kwa Umma wakati ambapo Wananchi wanakabiliwa na ongezeko kubwa la Bei ya Sukari kutokana na uhaba.
================
The head of Kenya’s standards regulator and 26 other government officials have been suspended over the release of 1,000 tonnes of expired sugar into the market.
A statement by the head of public service, Felix Koskei, said 20,000 bags of sugar imported into the country in 2018 and condemned by the regulator had been “irregularly diverted and unprocedurally released”.
The Kenya Bureau of Standards had then declared the sugar as unfit for human consumption and was set for destruction through conversion to industrial ethanol.
The conversion was to be undertaken jointly by regulatory agencies.
They were required to source for a distiller through an open and competitive tendering process and pay all the necessary taxes and fees.
“It is manifest that some officers in the relevant agencies abdicated their responsibilities, at the risk of public harm,” Mr Koskei said.
The suspension comes at a time when Kenyans have been hit by one of the biggest rise in prices of sugar in years amid shortage.
BBC