Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
PointBinafsi naona suala la waandishi wa habari inabidi liangaliwe upya, ikiwezekana mfumo ubadilishwe (sijui kama itawezekana).
Wengiwao wanaongoza kwa kulia njaa na ujanja ujanja, hiyo ni fedhea na aibu kwa tasnia.