peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Maafisa ushirika hawagawi pesa bali wao wanahamasisha vikundi halafu viongozi wa halmashauri ndio wanaogawa fedha hizo.vikundi hivyo huundwa kwa maelekezo ya viongozi wa halmashauri na ni vikundi feki vya kurejesha fedha kwa viongozi wa halmashauri.hizo hizo nyingi zimeliwa na watumishi wa halmashauri ndo maana hazijeresheki.kinatachotakiwa kwa sasa fedha hizo zifanyiwe forensic audit ndipo tutakapoona madudu.Serikali ya Tanzania imefanya wananchi wake mazuzu.
Mikopo imesitishwa kupitia Halmashauri nimejiuliza watoaji wa hiyo mikopo walisomea wapi kazi ya kugawa mikopo?
Ni nani aliwapa majukumu hayo kama sio njia ya kutauta njia ya kupoteza fedha za serikali?
Hawa ni wataalam muhimu sana na wanaoingia takriban kila eneo la maendeleo. Hii ni kwa sababu maendeleo yote yanahusu binadamu na ni kwa ajili ya binadamu. Kimsingi maendeleo endelevu ni yale yanayoshirikisha watu kikamilifu. Katika mikopo kazi yao kubwa siyo kugawa mikopo bali kuunda vikundi, kuvijengea uwezo wa kujiendesha na kuvishauri ili wanakikundi wavitumie kujiletea maendeleo.Serikali ya Tanzania imefanya wananchi wake mazuzu.
Mikopo imesitishwa kupitia Halmashauri nimejiuliza watoaji wa hiyo mikopo walisomea wapi kazi ya kugawa mikopo?
Ni nani aliwapa majukumu hayo kama sio njia ya kutauta njia ya kupoteza fedha za serikali?
Ninaomba Jf member mchangie hii mada ni muhimu sana