Acha porojo zako, hiki sio kijiwe cha fitina na umbea ... kwanini hujawashikisha za moto?Kwanini hukwenda ku-report kwa meneja?Kama umewahi kuingia tawini siku za karibuni, kuna namba ya simu kwa ajili ya watu wenye malamiko kama wewe .. umeipiga?
USHAURI: Naamini biashara yako inaweza ikawa haina vigezo ama una madeni, u-mjanja-mjanja ... fanya vifuatavyo then wakikunyima mkopo ama wakitaka hata sent moja yako ni-PM; Kumbuka malipo ya deni la mkopo kitaalam inatakiwa yalipwe na biashara husika ikiwa vnginevyo ni tatizo;
1. Hakikisha unaenda kuomba mkopo katika tawi ambapo biashara yako ipo i.e Biashara kama ipo K'koo then nenda
K'koo Branch na si biashara ipo Songea uombe mkopo tawi la NMB Msasani
2. Hakikisha una dhamana yenye zaidi ya mara 1.5 ya mkopo unaoutaka na mdhamini, ili kuonesha nia njema yako na
kama ukishindwa benk waweze kuiuza na kujilipa, kitakachozd utarudishiwa!
3. Hakikisha biashara yako ina zaidi ya miezi 6, ina leseni halali na TIN namba halalo inayotumika.
karibu!
Kaka kwanza nashukuru kwa kujitoa kutoa elimu ya bure kwa sisi wenye kufanya biashara ndogondogo. Ila nina swali moja je huyo mdamini anatakiwa awe nane mwenyekiti wa mtaa wako? mzazi wako? mchungaji wako? mke wako? au ni nani?Acha porojo zako, hiki sio kijiwe cha fitina na umbea ... kwanini hujawashikisha za moto?Kwanini hukwenda ku-report kwa meneja?Kama umewahi kuingia tawini siku za karibuni, kuna namba ya simu kwa ajili ya watu wenye malamiko kama wewe .. umeipiga?
USHAURI: Naamini biashara yako inaweza ikawa haina vigezo ama una madeni, u-mjanja-mjanja ... fanya vifuatavyo then wakikunyima mkopo ama wakitaka hata sent moja yako ni-PM; Kumbuka malipo ya deni la mkopo kitaalam inatakiwa yalipwe na biashara husika ikiwa vnginevyo ni tatizo;
1. Hakikisha unaenda kuomba mkopo katika tawi ambapo biashara yako ipo i.e Biashara kama ipo K'koo then nenda
K'koo Branch na si biashara ipo Songea uombe mkopo tawi la NMB Msasani
2. Hakikisha una dhamana yenye zaidi ya mara 1.5 ya mkopo unaoutaka na mdhamini, ili kuonesha nia njema yako na
kama ukishindwa benk waweze kuiuza na kujilipa, kitakachozd utarudishiwa!
3. Hakikisha biashara yako ina zaidi ya miezi 6, ina leseni halali na TIN namba halalo inayotumika.
karibu!
Kaka kwanza nashukuru kwa kujitoa kutoa elimu ya bure kwa sisi wenye kufanya biashara ndogondogo. Ila nina swali moja je huyo mdamini anatakiwa awe nane mwenyekiti wa mtaa wako? mzazi wako? mchungaji wako? mke wako? au ni nani?
Kwani hata mimi nahitaji kuanza kuzitumia hizi taasisi zetu za fedha kujikwamua kimaisha na tayari niko kwenye biashara kwa zaidi ya mwaka miaka miwili ila nahitaji kuwezeshwa ili kuendelea zaidi