Maafisa mikopo NMB

Maafisa mikopo NMB

Luraja

Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
27
Reaction score
4
Maafisa mikopo walio wengi wa benki ya NMB sio waaminifu ukiomba mkopo wanakutaka utoe rushwa kwanza.Wapo baadhi walishakamatwa na kufukuzwa kazi. Je kwa mwendo huu hii benki inaelekea wapi?
 
Nadhani sio NMB tu, hivi sasa Benki karibu zote zinazotoa mikopo, maafisa wake wameingia ktk huo mkumbo. Eti utoe fedha upate fedha. Njaa mbaya sana
 
hawa jamaa bila elfu hamsini fomu yako ya mkopo haishughulikiwi,kuna jamaa zangu wamekutwa na hili,yaani pale Bank house ni hovyo kabsa.
 
Acha porojo zako, hiki sio kijiwe cha fitina na umbea ... kwanini hujawashikisha za moto?Kwanini hukwenda ku-report kwa meneja?Kama umewahi kuingia tawini siku za karibuni, kuna namba ya simu kwa ajili ya watu wenye malamiko kama wewe .. umeipiga?

USHAURI: Naamini biashara yako inaweza ikawa haina vigezo ama una madeni, u-mjanja-mjanja ... fanya vifuatavyo then wakikunyima mkopo ama wakitaka hata sent moja yako ni-PM; Kumbuka malipo ya deni la mkopo kitaalam inatakiwa yalipwe na biashara husika ikiwa vnginevyo ni tatizo;

1. Hakikisha unaenda kuomba mkopo katika tawi ambapo biashara yako ipo i.e Biashara kama ipo K'koo then nenda
K'koo Branch na si biashara ipo Songea uombe mkopo tawi la NMB Msasani
2. Hakikisha una dhamana yenye zaidi ya mara 1.5 ya mkopo unaoutaka na mdhamini, ili kuonesha nia njema yako na
kama ukishindwa benk waweze kuiuza na kujilipa, kitakachozd utarudishiwa!
3. Hakikisha biashara yako ina zaidi ya miezi 6, ina leseni halali na TIN namba halalo inayotumika.

karibu!
 
Samahani hapo pekundu unamaanisha tuje tawini kwako au tukuulize zaidi habari za mikopo ya nmb?
 
sio bank zote ila kuna bank moja niliomba mkopo hawakuniomba hela yeyote kabla na baada ya kupata mkopo afisa mikopo akaniita pembeni akaniomba hela ya chai kwa vile aliniharakishia mkopo me nikampa 5000/= akasema iyo mbona ndogo wenzio wanatoa zaidi ya hiyo nikamwambia sina zaidi ya hiyo kama hutaki basi akachukua iyo buku tano.
 
nadhani rushwa inakuja kwa njia nyingi, moja ni mkopaji kukosa sifa. Wengi biashara zao zimepungukiwa vigezo so wanatoa kidogo ili kufukia mashimo. Kuna kajamaa flani kapo NMB magomeni ka Loan officer keupe hivi kutoka moshi, kalishawahi ishi sinza palestina, ipo siku watamla Tigo
 
Mkuu, kulalamika bila kuchukua hatua zinazostahili ni kulea ugonjwa.
 
Anayemkejelimlfta mada ama hajawahi kukopa katika benki zetu, ama hayajui vema mabenki yetu, ama ana maslahi na benki kwa namna moja au nyingine.
 
Ukiomba mkopo wanasema uandaye bussines plan. Ukiandaa wanasema haina vigezo kwa hiyo wakuandalie wao na gharama ya kuandaa siyo chini ya 300,000/= kama umeomba 15m
 
Acha porojo zako, hiki sio kijiwe cha fitina na umbea ... kwanini hujawashikisha za moto?Kwanini hukwenda ku-report kwa meneja?Kama umewahi kuingia tawini siku za karibuni, kuna namba ya simu kwa ajili ya watu wenye malamiko kama wewe .. umeipiga?

USHAURI: Naamini biashara yako inaweza ikawa haina vigezo ama una madeni, u-mjanja-mjanja ... fanya vifuatavyo then wakikunyima mkopo ama wakitaka hata sent moja yako ni-PM; Kumbuka malipo ya deni la mkopo kitaalam inatakiwa yalipwe na biashara husika ikiwa vnginevyo ni tatizo;

1. Hakikisha unaenda kuomba mkopo katika tawi ambapo biashara yako ipo i.e Biashara kama ipo K'koo then nenda
K'koo Branch na si biashara ipo Songea uombe mkopo tawi la NMB Msasani
2. Hakikisha una dhamana yenye zaidi ya mara 1.5 ya mkopo unaoutaka na mdhamini, ili kuonesha nia njema yako na
kama ukishindwa benk waweze kuiuza na kujilipa, kitakachozd utarudishiwa!
3. Hakikisha biashara yako ina zaidi ya miezi 6, ina leseni halali na TIN namba halalo inayotumika.

karibu!
Kaka kwanza nashukuru kwa kujitoa kutoa elimu ya bure kwa sisi wenye kufanya biashara ndogondogo. Ila nina swali moja je huyo mdamini anatakiwa awe nane mwenyekiti wa mtaa wako? mzazi wako? mchungaji wako? mke wako? au ni nani?
Kwani hata mimi nahitaji kuanza kuzitumia hizi taasisi zetu za fedha kujikwamua kimaisha na tayari niko kwenye biashara kwa zaidi ya mwaka miaka miwili ila nahitaji kuwezeshwa ili kuendelea zaidi
 
Kama umeoa au umeolewa na dhamana iliyotumika ni ya familia then mdhamini lazima awe mke au mume, vnginevyo mtu aliyekupa dhamana au mtu yoyote!
 
Back
Top Bottom