1987SANAWA
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 418
- 526
Habari wanajukwaa!
Kuna mfumo wa watumishi wa umma unaitwa employee self service ess, kupitia mfumo huo watumishi hawahitaji kubeba nyaraka nyingi ili kukopeshwa mambo yanaishia online.
Kutokana na maendeleo hayo maafisa mikopo hawajafurahi hivyo kuamua kukwamisha mikopo na kuwataka watumishi kutumia njia ya zamani ya nyaraka nyingi na kuonana na maafisa hao njia ambayo inapelekea urasimu na rushwa ili mtumishi aweze kupata mkopo.