1987SANAWA
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 418
- 526
Sasa zile platinum, bank ABC na uchafu mwingine wanakwenda kufungasha viragoHakuna namna kwa sasa mtumishi wa umma anaweza kukopa nje ya huo mfumo.
Hakuna HR atakayepitisha hayo manyaraka yaliyo nje ya ess.
Hayo ni maelekezo sio utashi wa mtu.
Kwa wasio watumishi wa umma inawezekana.
Benki zinazoleta urasimu huo zikiripotiwa BOT watazishughulikia ASAP.