Maafisa TPA watuhumiwa kupokea rushwa ya $800,000 kutoa tenda ya $6.6m

Hizo pesa zinaendana CCM kipindi cha uchaguzi kinapokaribia.
 
Halafu kuna watu walikuwa wanaamini kabisa kuwa wakati wa Mwendazake watu walikuwa hawapokei Rushwa .....!!
Maafisa hao wanadaiwa kupokea pesa hizo kwenye sanduku. Pamoja na kampuni hiyo kulipwa $ 4,000,000 kampuni hiyo ilishindwa kutimiza chochote. Mwaka 2022 Tanzania ilibatilisha mkataba baina yao ulioingiwa mwaka 2014/15 na kuwafungulia kesi maafisa waliohusika
 
Ndiyo uzuri wa rushwa. Rushwa yo yote mwishowe huwa siyo siri. Ni suala la muda tu. Watu wangekuwa wanajua hilo wangejiwpusha na rushwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…