Maafisa Uhamiaji walioko mkoani Sumbwawanga(Kanongo) wanaongoza kwa kuwadhulumu wageni wanaopita kwenda nje ya Nchi

Maafisa Uhamiaji walioko mkoani Sumbwawanga(Kanongo) wanaongoza kwa kuwadhulumu wageni wanaopita kwenda nje ya Nchi

Teleza1

Senior Member
Joined
May 16, 2020
Posts
190
Reaction score
198
Maafisa uhamiaji mkoani Sumbawanga (Kanongo) wanaongoza kwa kuchukua rushwa na kuwasumbua wageni wanaopita kwenda nje ya Nchi. Leo nikiwa kwenye gari nimeshuhudia wakongo mani waliokuwa na vibali vyote kupita nchini Malawi wakisumbuliwa na kulipishwa fedha nyingi dola 300 kila mmoja.

Walikuwa na document zote walipita vituo vyote ila kanongo tu wakazuliwa kwa sababu walikuwa wengi.

Afisa Uhamiaji mmoja jina ninalihifadhi aliwauliza kwanini wako wengi hivyo wameamua kwenda malawi.

Mwingine niliona anaulizwa jina la babu yake mzaa babu yake ikawa kimbembe
 
Ni Rukwa mkuu Sumbawanga ni wilaya. Sema kuna baadhi ya mikoa majina ya miji yamekuwa maarufu kuliko najina ya mikoa hivyo wengi huchanganya. Mfano Moshi - Kilimanjaro, Songea - Ruvuma na Bukoba - Kagera.
 
Lakini ameshaeleweka
 
Mim naongeza na hili askari police wa kituo Cha police Kirando wamekosa utu Kama binadamu wenye akili timamu huwezi mpa mtu chakula ale akiwa rock up kwenye ndoo ya haja kubwa na mkojo huku ni kukosa utu kabisa.

Mazingira ya rock up ni mabaya kiasi kwamba kwa watu wenye akili timamu na wanao jielewa hawawezi kumuweka mtu hakuna dirisha la kupitisha hewa ni mlango tu alafu humo humo Kuna ndoo ya kujisaidia haja kubwa na ndogo alafu mtu akiletewa chakula anapewa ale katika mazingira hayo hayo huu ni ujinga wa kiwango cha 5G

Tunaomba wenye mamlaka kuliangalia jambo hili.
 
Dhulma imeanzia juu ndg mleta mada. Tozo Ni dhulma ya mchana kweupe.

Ni wajibu wa kila raia kulipa Kodi. Lkn ukiona unalipa Kodi halafu kiongozi anadai na dozi basi ujue unadhulmiwa
 
Back
Top Bottom