Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Naona ndugu zangu wamechoka kuchafuliwa! Ila kama mnakataa kwa hiari yenu sawa lakini kama mnatumika kisiasa basi mtazidi kuharibu
=============
Umoja wa Maafisa Usafirishaji Mkoa wa Pwani, umetoa tamko la kupinga na kulaani vikali tuhuma za kuhusishwa na vitendo vya vurugu, vilivyotokea Oktoba 29, hatua ambayo imewafanya kukosa amani na kudhoofika kiuchumi huku wakisisitiza kuwa wapo tayari kumkana na kuchukua hatua dhidi ya Afisa yoyote atakayebainika kuwa alijihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani.