Habari za jioni hii wanajamvi naomba kujua kuhusu ile video inayotrend kwenye mitandao toka Jana ya mwanasiasa/Mwanasheria machachari wa Kenya Miguna Miguna kulazimishwa kurudi Canada na Serikali ya Kenya nae kugomea kwenye ndege ikionekana akivutana na wanausalama wa Kenya ,je? Amerudi huko alikotoka au bado anagomea kuondoka naomba kujua kwani seke seke LA Jana lilikuwa si mchezo.