Maafisa usalama wa Kenya wamefanikiwa kumrudisha Miguna Miguna Canada?

Maafisa usalama wa Kenya wamefanikiwa kumrudisha Miguna Miguna Canada?

Bossless

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Posts
1,381
Reaction score
2,948
Habari za jioni hii wanajamvi naomba kujua kuhusu ile video inayotrend kwenye mitandao toka Jana ya mwanasiasa/Mwanasheria machachari wa Kenya Miguna Miguna kulazimishwa kurudi Canada na Serikali ya Kenya nae kugomea kwenye ndege ikionekana akivutana na wanausalama wa Kenya ,je? Amerudi huko alikotoka au bado anagomea kuondoka naomba kujua kwani seke seke LA Jana lilikuwa si mchezo.
 
Yupo Kenya na mahakama imetoa amri apelekwe mahakamani lakini serikali bado inamshikiria duu
 
Back
Top Bottom