Maafisa usalama zaidi ya 700 wamuunga mkono Kamala Harris dhidi ya Trump kwenye Uchaguzi mkuu Marekani 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Mbio za kampeni za uchaguzi nchini Marekani zimeendelea kuwa sukari na hii ni baada ya maafisa takriban 700 wa usalama wa kitaifa na wanajeshi nchini humo kumuidhinisha na kumuunga mkono Kamala Harris kwenye mbio zake za Urais dhidi ya Donald Trump.

Kupitia barua yao ya pamoja, maafisa hao wa usalama nchini Marekani waliweka wazi kuwa Harris ni kiongozi anayetetea misingi ya kidemokrasia ya Marekani huku rais wa zamani Donald Trump kuwa ni mtu anayetishia misingi hiyo ya demokrasia.

Ikumbukwe kuwa barua hii inakuja siku chache tangu viongozi takriban 100 wanaohusika na usalama wa kitaifa kutokea chama cha Republican kumuunga mkono Kamala Harris ambaye anatokea chama cha Democratic.

Barua hiyo inamkosoa Trump kwa kusifu na kutetea madikteta wakiwemo Xi Jinping wa China, Kim Jong-un wa Korea Kaskazini, na Vladimir Putin wa Urusi, pamoja na viongozi wa kigaidi wa Hezbollah, huku akiidhalilisha Marekani.

Soma pia: LIVE Yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Miongoni mwa wale waliotia saini barua hiyo ni pamoja aliyekuwa Waziri wa Ulinzi Chuck Hagel, Mrepublican aliyehudumu katika utawala wa Obama, na Admirali Mstaafu wa Jeshi la Majini Michael Smith.

Trump Kamala.jpeg

Uchaguzi nchini Marekani utafanyika Novemba 5 mwaka huu wa 2024 ambapo mshindi wa kiti hicho cha Urais ataapishwa Januari 6, 2025

================================================

Over 700 national security and military officials endorsed Kamala Harris for president Sunday in a letter that said the vice president "defends America's democratic ideals" while former President Trump "endangers" them.
The big picture: The latest boost for Harris' campaign comes days after more than 100 Republican national security leaders endorsed the Democratic presidential nominee for president, including nine staffers who served in the Trump White House.

Several polls show Harris pulling ahead of Trump, including an NBC News survey out Sunday showing the Democrat leading the Republican nationally 49% to 44% and a Washington Post one showing her with a slight lead in four battleground states.

The contrast with Mr. Trump is clear: where Vice President Harris is prepared and strategic, he is impulsive and ill-informed," per the letter, which features signatories including former Defense Secretary Chuck Hagel, a Republican who served in the Obama administration, and retired Navy Rear Adm. Michael Smith

The letter criticizes Trump for praising "adversarial dictators" including China's Xi Jinping, North Korea's Kim Jung-un, and Russia's Vladimir Putin, "as well as the terrorist leaders of Hezbollah," while denegrating the U.S.

It said Trump "threatens our democratic system" by calling for the "termination" of parts of the U.S. Constitution and added that his comments about being a dictator for a day were not reassuring.

Source: Axios
 
Ya

Yaani kwenye jeshi la marekani kuungwa mkono na watu 700,sio big deal mwaka 2016 Trump aliungwa mkono na wanausalama karbia 1600,,,mwaka huu idara ya uhamiaji yote inamuunga mkono Trump,
 
Back
Top Bottom