Tetesi: Maafisa Utumishi Njooni hapa: Nahitaji msaada juu ya hili

Tetesi: Maafisa Utumishi Njooni hapa: Nahitaji msaada juu ya hili

Anaekihitaji Cheti ndio anatakiwa akiverify.. Sielewi huu upumbavu wa kuwahangaisha waombaji kazi kuverify vyeti vyao. Sababu kama ninakupa Cheti ambacho nimekiverify kwa mwanasheria Je na wewe(Mwajiri) huwa unaverify uhalali wa verification yangu Mwombaji??

Waswahili tuna mambo ya ajabuajabu sanaa
Kisheria document yeyote itatambulika kuwa ni copy pale tu itakapokuwa verified na mwanasheria, Sasa ili ipokelewe na itambulike Kama copy lazima iwe na mhuri wa Wakili hata Kama ukiripoti kwa mwajiri atahitaji originals Ila in the process lazima iwe katika state yakutambulika kisheria na ndio maana documents nyingine despite ya kuwa na mhuri wa Wakili bado zinatakiwa kuwa registered kwa registrar of documents pale wizara ya ardhi na kwingine.
 
Mkuu mie siyo Afisa Utumishi. Ila huwa kuna principle inasema 'do the best and leave the rest'. Kwani itakugharimu nini iwapo ukiamua kuthibitisha tena ile uwe kwenye safe side zaidi?
 
Mkuu mie siyo Afisa Utumishi. Ila huwa kuna principle inasema 'do the best and leave the rest'. Kwani itakugharimu nini iwapo ukiamua kuthibitisha tena ile uwe kwenye safe side zaidi?
Cheti Kama ni copy na ilishakuwa verified na Wakili haijalishi ni lini au muda gani Cha muhimu iwe mhuri sahihi na sio mhuri uliopigwa copy hapo atahitajika kupiga Tena.

Thats all.
 
Kisheria document yeyote itatambulika kuwa ni copy pale tu itakapokuwa verified na mwanasheria, Sasa ili ipokelewe na itambulike Kama copy lazima iwe na mhuri wa Wakili hata Kama ukiripoti kwa mwajiri atahitaji originals Ila in the process lazima iwe katika state yakutambulika kisheria na ndio maana documents nyingine despite ya kuwa na mhuri wa Wakili bado zinatakiwa kuwa registered kwa registrar of documents pale wizara ya ardhi na kwingine.
Sawa lkn my point is, anaetakiwa kukihakikisha kama ni cheti halali au feki ni yule anaekihitaji na sio anaeombwa. Chukulia mfano wa Bank anaeverify Signature yako ni mtu wa Bank na sio wewe.
Sasa unapotangaza Kazi ukaomba vyeti vyangu mimi nakupa vyeti ila wewe sasa unaevihitaji ndio unatakiwa uverify kama ni vyeti halali au fake. Hayo mambo ya Muhuri wa Mwanasheria katika muktadha huo ni kupoteza muda sababu later mwajiri ataomba tena apelekewe Original Vyeti sasa navyo vipigwe Muhuri??
Kwa kifupi naweza kusema ni utaratibu wa kijinga sana.
Idara ya Utumishi Bongo bado ni ya Kizamani mnoo yaani kuna aina ya watu lazima watoke ndio mambo yatabadilika.
 
Back
Top Bottom