A
Tena pale ikungi kuna ofisi ya ccm watu wana jaa vibaya sana, siku moja nili jaribu kumu elewesha mama 1 hivi wa makamo akawa mbogo hata salamu tu ikawa shida.Huko si ndo ccm mbele kwa mbele ?
Ndo maana halisi ya kuisoma namba sasa
Acha waisome namba , wapuuzi kabisaTena pale ikungi kuna ofisi ya ccm watu wana jaa vibaya sana, siku moja nili jaribu kumu elewesha mama 1 hivi wa makamo akawa mbogo hata salamu tu ikawa shida.