Maafisa waliomfungulia kesi Trump wafutwa kazi

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Huko Marekani hakupoi wala hakuboi. Trump kila kukicha anakuja na jipya.

Wizara ya Sheria ya Marekani imewafukuza kazi zaidi ya maafisa muhimu kumi na mbili waliokuwa wakifanya kazi katika timu ya Mwendesha Mashtaka Maalum Jack Smith, iliyokuwa ikimshitaki Rais Donald Trump.

Uamuzi huo umefuata baada ya Kaimu Mwanasheria Mkuu, James McHenry kusema kwamba maafisa hao hawawezi kuaminiwa katika kutekeleza ajenda ya Rais Trump kwa uaminifu.
 
Hata kocha wa timu ya mpira huja na msaidizi wake wa kumsidia upande wa viungo na utimamu wa miili ya wachezaji ili aweze kupata matokeo mazuri.
 
Huko Marekani hakupoi wala hakuboi. Trump kila kukicha anakuja na jipya.

Wizara ya Sheria ya Marekani imewafukuza kazi zaidi ya maafisa muhimu kumi na mbili waliokuwa wakifanya kazi katika timu ya Mwendesha Mashtaka Maalum Jack Smith, iliyokuwa ikimshitaki Rais Donald Trump.

Uamuzi huo umefuata baada ya Kaimu Mwanasheria Mkuu, James McHenry kusema kwamba maafisa hao hawawezi kuaminiwa katika kutekeleza ajenda ya Rais Trump kwa uaminifu.
Jamaa yupo serious sana na team yake.
 
Back
Top Bottom