Uaminifu unajengwa na mifumo ya maisha iliyowekwa katika jamii, kabla ya kufikia hatua hiyo waliyonayo walipitia mazingira kama yetu ila sisi tunayonafasi ya kwenda kwa haraka zaidi ya wao walikopitia.Ulaya watu ni waaminifu pia hakuna rushwa, huku miradi inatolewa kwa kujuana na rushwa ndiyo maana kazi zinakwama
Fanya utafiti Africa inakila aina ya rasilimali lakini ni masikini wa akili, rushwa na uongozi mbovu.uaminifu unajengwa na mifumo ya maisha iliyowekwa katika jamii, kabla ya kufikia hatua hiyo waliyonayo walipitia mazingira kama yetu ila sisi tunayonafasi ya kwenda kwa haraka zaidi ya wao walikopitia.
tusijenge woga na kujikwamisha bali tufocus mbele na kujifunza kutoka kwao.
ni sawa na mtu anayekwenda porini mara kwanza huangaika kutengeneza njia na huyu mtengeneza njia huhangaika sana lakini wanaokuja baadae hupitia njia zile zile alizotengeneza huyu wa kwanza na wao hupita kwa haraka