Trubarg
JF-Expert Member
- Jan 8, 2020
- 4,400
- 7,254
Kile kinachoendelea cha usafi na kuzuia biashara katika maeneo Yasiyo ramsi kinachonekana ikifanyika katika wilaya zingine huku wilaya ya Ubungo Mambo yakiendelea opposite. Katika wilaya ya Ubungo machinga na Vibanda holela vimekuwa kama ni sehemu ya utamaduni na uongezekaji wake Kwa Kasi inaweza vunja rekodi. Wakati wakuu wa wilaya zingine wakiopambana kuondoa hapa Ubungo mkuu wake wa wilaya ndiye anayechochea ujengaji Kwa kisingizio cha kuwapanga. Sasa najiuliza swali je Ubungo ni special case?