Maajab! Malaika aina ya makeherubi adondoka toka mbinguni!

Maajab! Malaika aina ya makeherubi adondoka toka mbinguni!

Uwongo umejuaje jina ni makerubi?tunaambiwa malaika hayuko kama binadamu kimuonekano sababu yeye hana damu,mbona huyo kama babu Wenger kabisa
 
Hivi wapi walisema malaika wana mabawa

Nenda kwenye Biblia kafungue kitabu cha kutoka, utaona Maelekezo aliyokuwa anapewa Musa na Mungu jinsi ya kutengeneza Sanduku la Agano, aliambiwa juu ya Sanduku hilo la Agano atengeneze SANAMU MBILI ZA MAKERUBI (Malaika) wanaotazamana sura zao, na kugusana MBAWA ZAO
 
Back
Top Bottom