Maajabu 10 ya "Aje" ya Alikiba na miujiza yake

Yaan kote huko nisingekupinga ila hyo namba kumi ndio umenchefua nyongo acha bas mahaba ya hvyo hv nyie milion 800 unaijua au umejiskia kuanzsha thread tu
 
Nyimbo zilizofanikiwa EAST AFRICA kuliko zote ni AY ft diamond platnumz imeshika namba mbili mtv base zaidi ya wiki nne na kukaa ktk chati hizo kwa mda mrefu, iTunes Kenya ilikamata nafasi ya 1 na Ghana kushika nafasi ya 30, trace ilikamata namba 1 kwa wiki mbili mfululizo na nyimbo, bila kusahau zigo ndio nyimbo yenye view nyingi youtube kuliko nyimbo yoyote Kutoka EA, ikifuatiwa na BADO ya harmonize, nyingine ambayo ilipata rotation kubwa na kufanya vizuri (kimauzo sijui) ni unconditionally bae Sauti sol ft alikiba imeshika nafasi ya kwanza trace wiki 2 na mtv nafasi ya 1 zaidi ya wiki nne, kwa kifupi nyimbo zilizofanya vizuri EAST AFRICA ni ZIGO RMX YA AY FT DIAMOND PLATNUMZ na UNCONDITIONALLY BAE SAUTI SOL FT ALIKIBA najua utim unakufanya kuwa kipofu na kama ww ni mtazamaji wa TRACE na MTV utakubaliana nami na nahisi zigo na unconditionally bae zinaweza zikawa ktk nomimation za mtv mama.
 
You remind me of mwana, ilipotoka kila kona ilikuwa namba moja kwa mauzo... That's kiba
 
Hiyo ni demo ya Aje remix ambayo ilivuja, tutaitoa tayar video tushafanya na directors wawili wakubwa Africa "mejialabi na justine Campos
Imefunika, kila mmoja mzuri kivyake, halafu walivyowekwa pamoja imekuwa spot on, yaani mpaka timing ya M.I ipo accurate to the second.

Mimi huwa napima muziki kwa software na hili nimeliona mpaka software yangu imekubali.
 
Nimefanya tafiti ya kutosha kutoka kwa vyanzo vya kuaminika,
Seems hujui hata maana ya utafiti, taarifa yako ya utafiti haina ushahidi wowote wa huo utafiti, seems unayemtetea unamaslahi binafsi naye, vp n nani kwako?! Tusije anza kupigwa ban kwa kukusema vibaya bure!
 
Dah umetisha mkuu
 
Nyimbo zilizofanikiwa EAST AFRICA kuliko zote ni AY ft diamond platnumz imeshika namba mbili mtv base zaidi ya wiki nne na kukaa ktk chati hizo kwa mda mrefu, iTunes Kenya ilikamata nafasi ya 1 na Ghana kushika nafasi ya 30, trace ilikamata namba 1 kwa wiki mbili mfululizo na nyimbo, bila kusahau zigo ndio nyimbo yenye view nyingi youtube kuliko nyimbo yoyote Kutoka EA, ikifuatiwa na BADO ya harmonize, nyingine ambayo ilipata rotation kubwa na kufanya vizuri (kimauzo sijui) ni unconditionally bae Sauti sol ft alikiba imeshika nafasi ya kwanza trace wiki 2 na mtv nafasi ya 1 zaidi ya wiki nne, kwa kifupi nyimbo zilizofanya vizuri EAST AFRICA ni ZIGO RMX YA AY FT DIAMOND PLATNUMZ na UNCONDITIONALLY BAE SAUTI SOL FT ALIKIBA najua utim unakufanya kuwa kipofu na kama ww ni mtazamaji wa TRACE na MTV utakubaliana nami na nahisi zigo na unconditionally bae zinaweza zikawa ktk nomimation za mtv mama.

Utetezi mwepesi sana tena sana huu, hebu jarbu kupima rekodi za aje hapo juu na hizo zake,Kingine rekod za aje zipo nyingi hadi huko Ghana, togo ila nimeona hapa nichukue tu zile muhimu tu, hata hizi za aje kuuzwa mtn Africa nzima nimezipotezea sababu bado hatujapata overall ya hesabu.
 
Seems hujui hata maana ya utafiti, taarifa yako ya utafiti haina ushahidi wowote wa huo utafiti, seems unayemtetea unamaslahi binafsi naye, vp n nani kwako?! Tusije anza kupigwa ban kwa kukusema vibaya bure!

Mkuu sipo hapa kwa ajili ya ligi ma mtu
 
Hiyo namba 10 Ina mana sasa Kiba Ni bilionea siyo? Na kama Ni hivyo basi awe anaishi kwake na sio kwenye nyumba ya kupanga, bilionea kupanga nyumba ya kodi ya laki 5 kwa mwezi Ni majangazi

Kumbe bado amepanga?
 
Milion 800 kwa miez minne .....ajabu lingine Tanzania hili
 
v.jpg
Shardcole
 
Back
Top Bottom