AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
- Thread starter
-
- #21
Hebu ielezee vzr namba 10, manake usije ukawa unampaka mafuta kwa mgongo wa chupa mwenzio
Anazo mbili. Una lingine?
Haujajibu swali mkuu. Mbona unahangaika na baba yangu unamuacha mkeo Kiba? Nimeuliza kuhusu Kiba na sio baba yako.Ni chache sana kulingana na umri wake.
Imefunika, kila mmoja mzuri kivyake, halafu walivyowekwa pamoja imekuwa spot on, yaani mpaka timing ya M.I ipo accurate to the second.Hiyo ni demo ya Aje remix ambayo ilivuja, tutaitoa tayar video tushafanya na directors wawili wakubwa Africa "mejialabi na justine Campos
Seems hujui hata maana ya utafiti, taarifa yako ya utafiti haina ushahidi wowote wa huo utafiti, seems unayemtetea unamaslahi binafsi naye, vp n nani kwako?! Tusije anza kupigwa ban kwa kukusema vibaya bure!Nimefanya tafiti ya kutosha kutoka kwa vyanzo vya kuaminika,
Dah umetisha mkuuSeems hujui hata maana ya utafiti, taarifa yako ya utafiti haina ushahidi wowote wa huo utafiti, seems unayemtetea unamaslahi binafsi naye, vp n nani kwako?! Tusije anza kupigwa ban kwa kukusema vibaya bure!
Nyimbo zilizofanikiwa EAST AFRICA kuliko zote ni AY ft diamond platnumz imeshika namba mbili mtv base zaidi ya wiki nne na kukaa ktk chati hizo kwa mda mrefu, iTunes Kenya ilikamata nafasi ya 1 na Ghana kushika nafasi ya 30, trace ilikamata namba 1 kwa wiki mbili mfululizo na nyimbo, bila kusahau zigo ndio nyimbo yenye view nyingi youtube kuliko nyimbo yoyote Kutoka EA, ikifuatiwa na BADO ya harmonize, nyingine ambayo ilipata rotation kubwa na kufanya vizuri (kimauzo sijui) ni unconditionally bae Sauti sol ft alikiba imeshika nafasi ya kwanza trace wiki 2 na mtv nafasi ya 1 zaidi ya wiki nne, kwa kifupi nyimbo zilizofanya vizuri EAST AFRICA ni ZIGO RMX YA AY FT DIAMOND PLATNUMZ na UNCONDITIONALLY BAE SAUTI SOL FT ALIKIBA najua utim unakufanya kuwa kipofu na kama ww ni mtazamaji wa TRACE na MTV utakubaliana nami na nahisi zigo na unconditionally bae zinaweza zikawa ktk nomimation za mtv mama.
You remind me of mwana, ilipotoka kila kona ilikuwa namba moja kwa mauzo... That's kiba
Seems hujui hata maana ya utafiti, taarifa yako ya utafiti haina ushahidi wowote wa huo utafiti, seems unayemtetea unamaslahi binafsi naye, vp n nani kwako?! Tusije anza kupigwa ban kwa kukusema vibaya bure!
Hiyo namba 10 Ina mana sasa Kiba Ni bilionea siyo? Na kama Ni hivyo basi awe anaishi kwake na sio kwenye nyumba ya kupanga, bilionea kupanga nyumba ya kodi ya laki 5 kwa mwezi Ni majangazi