Maajabu 15 ya bonanza la UTOPOLO

Maajabu 15 ya bonanza la UTOPOLO

Wagumu Tunadumu

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2022
Posts
5,276
Reaction score
17,354
HAYA NDIO MAAAJABU 15 YA YANGA BONANZA LEO

1. Kuuza tiketi mlangoni wakati sold out 🤣

2. Kuingiza watu Bure uwanjani baada ya kuona mpaka saa 9 uwanja umedoda/ hawajajaa

3. Kushindwa kumpa million 150 alizoomba Diamond platmuz ili apafomu stejin

4. Kusherehesha watu zaidi ya watano kazi ya mtu mmoja

5. Kutokuwa na mpangilio wa Matukio/ Ratiba. Tambulisha tambulisha isiyoeleweka.

6. Ratiba ya Mechi saa 2: 30 Mechi ikachezwa saa 3.30 aibu. Kupotezeana muda

7. Tukio la marehemu kukumbukwa kipindi Cha pili Cha mechi na kupewa zawadi😂😂nacheka kama mazuri

8. Konde boy kunong'onezwa muda umeisha wa kuimba na kuendelea / utaratibu mbovu na akakaidi😂

9. Kutambulisha wapenzi /kuvishana nguo,Pete. Mpaka azam wakaona aibu wakakata matangazo.

10. Kununua mechi Yako mwenyewe/Bonanza🤣🤣 Red ♦️

11. Kupewa penati na ukashangilia Bonanza lako🤣

12. Manara kutumia nguvu kubwa kuwaamisha yeye ni Yanga lialia,. Huku akijua ye Simba damu.

13. Kutokuwa na mvuto wa kutambulisha wachezaji Manara. Bora Alikamwe hakuwa na kipya ni yalwyale ya akiwa Simba.

14. Kutoonekana Kwa alikamwe ambaye ndiye boss wa Manara. Na kuonekana wakodishwaji.

15. Kugombania mic 🎤 wasanii. Marioo.😭

Nawewe orodhesha ili wabadilike siku nyingine
 
1. Kuuza tiketi mlangoni wakati sold out [emoji1787]

2. Kuingiza watu Bure uwanjani baada ya kuona mpaka saa 9 uwanja umedoda/ hawajajaa

3. Kushindwa kumpa million 150 alizoomba Diamond platmuz ili apafomu stejin

4. Kusherehesha watu zaidi ya watano kazi ya mtu mmoja

5. Kutokuwa na mpangilio wa Matukio/ Ratiba. Tambulisha tambulisha isiyoeleweka.

6. Ratiba ya Mechi saa 2: 30 Mechi ikachezwa saa 3.30 aibu. Kupotezeana muda

7. Tukio la marehemu kukumbukwa kipindi Cha pili Cha mechi na kupewa zawadi[emoji23][emoji23]nacheka kama mazuri

8. Konde boy kunong'onezwa muda umeisha wa kuimba na kuendelea / utaratibu mbovu na akakaidi[emoji23]

9. Kutambulisha wapenzi /kuvishana nguo,Pete. Mpaka azam wakaona aibu wakakata matangazo.

10. Kununua mechi Yako mwenyewe/Bonanza[emoji1787][emoji1787] Red [emoji3532]

11. Kupewa penati na ukashangilia Bonanza lako[emoji1787]

12. Manara kutumia nguvu kubwa kuwaamisha yeye ni Yanga lialia,. Huku akijua ye Simba damu.

13. Kutokuwa na mvuto wa kutambulisha wachezaji Manara. Bora Alikamwe hakuwa na kipya ni yalwyale ya akiwa Simba.

14. Kutoonekana Kwa alikamwe ambaye ndiye boss wa Manara. Na kuonekana wakodishwaji.

15. Kugombania mic [emoji441] wasanii. Marioo.[emoji24]

Nawewe orodhesha ili wabadilike siku nyingine
Hakika aliewaita utopwinyo aliwaza mbali sana
 
HAYA NDIO MAAAJABU 15 YA YANGA BONANZA LEO

1. Kuuza tiketi mlangoni wakati sold out 🤣

2. Kuingiza watu Bure uwanjani baada ya kuona mpaka saa 9 uwanja umedoda/ hawajajaa

3. Kushindwa kumpa million 150 alizoomba Diamond platmuz ili apafomu stejin

4. Kusherehesha watu zaidi ya watano kazi ya mtu mmoja

5. Kutokuwa na mpangilio wa Matukio/ Ratiba. Tambulisha tambulisha isiyoeleweka.

6. Ratiba ya Mechi saa 2: 30 Mechi ikachezwa saa 3.30 aibu. Kupotezeana muda

7. Tukio la marehemu kukumbukwa kipindi Cha pili Cha mechi na kupewa zawadi😂😂nacheka kama mazuri

8. Konde boy kunong'onezwa muda umeisha wa kuimba na kuendelea / utaratibu mbovu na akakaidi😂

9. Kutambulisha wapenzi /kuvishana nguo,Pete. Mpaka azam wakaona aibu wakakata matangazo.

10. Kununua mechi Yako mwenyewe/Bonanza🤣🤣 Red ♦️

11. Kupewa penati na ukashangilia Bonanza lako🤣

12. Manara kutumia nguvu kubwa kuwaamisha yeye ni Yanga lialia,. Huku akijua ye Simba damu.

13. Kutokuwa na mvuto wa kutambulisha wachezaji Manara. Bora Alikamwe hakuwa na kipya ni yalwyale ya akiwa Simba.

14. Kutoonekana Kwa alikamwe ambaye ndiye boss wa Manara. Na kuonekana wakodishwaji.

15. Kugombania mic 🎤 wasanii. Marioo.😭

Nawewe orodhesha ili wabadilike siku nyingine
Tar 8 mje nyani nyie, taarabu kibao
 
Propaganda za uongo siyo kwa zama hizi unaonekana mjinga tu
 
Roho ya umasikini ni mbaya sana hivi Kalikonji zungu chawa wa kumkashifu Mo kweli? Kama ilikua mbaya Mo kumtambulisha dada yake wa " Mambasa" kulikua na shida gani mbona wao wakaanza kutambulishana mpaka na vimada kabisa
 
Manara kuwaambia Yanga kwa sasa Yanga ina wafalme wawili tu, yeye na Prince Dube 🙊
 
Tar 8 mje nyani nyie, taarabu kibao
Sema nini mkuu,mashabiki wa mpira Bongo mnateswa sana na timu zenu.

Jamaa yangu tunaishi Mbezi Makabe huko jana ananipigia simu usiku wa saa sita nimtumie namba ya bodaboda tunayemtumia maeneo ya kazini Kariakoo ili ampigie amfate Taifa kumpeleka kwake,bodaboda mwenyewe anaishi Majohe huko G/Mboto sasa kero zote hizi za nini!
 
Yote tisa kumi tukio la Mo kumtambulisha dada yake fatima mpaka dada ake wa Mombasa, kweli ile ni timu ya familia
Ila Fatima si ndiyo anaisimamia Mo Foundation ambayo hata kwenye jezi ya Simba ipo? Sioni shida mwekezaji mwenye asilimia 49 ya kampuni kutambulisha familia yake kwa wateja na wafanyakazi. Ni jambo muhimu kujua kwa kina watu walio nyuma ya brand unayosapoti.
 
Back
Top Bottom