PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Foundation ilishafutwa rasmi tena kwa tangazo, ila Simba bado wanaitangazaIla Fatima si ndiyo anaisimamia Mo Foundation ambayo hata kwenye jezi ya Simba ipo? Sioni shida mwekezaji mwenye asilimia 49 ya kampuni kutambulisha familia yake kwa wateja na wafanyakazi. Ni jambo muhimu kujua kwa kina watu walio nyuma ya brand unayosapoti.