Maajabu 8 ya mkoa wa Mara

Ni mkoa pekee mtu akisema ntakugecha mura ujue tayari amesha Kukata either na panga or kisu.


Niliwahi kumtania mlevi mmoja ntakugecha mura
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3] Jamaa alikimbia mno.
 
Mkoa wa Mara hauko Kaskazini Mashariki ya Tanzania bali uko Kaskazini Magharibi ya Tanzania, nadhani hapo mtoa post ulijichanganya
 
Naitwa chacha mwita nyankoro komoyo from serengeti
 
Hi washashi sio kabila kumbukumbu yangu inanieleza kuna makabila 26
 
Hivi unaelewa maana ya maajabu? Sijaona ajabu hata moja hapo vyote vya kawaida tu.
 
Mpakani?
Kwa nini mnufaika mkubwa wa mbuga hiyo ni mkoa wa Arusha na Mara inabaki mtazamaji tu?
Nadhani ilibidi tu iwe hivyo...! Nadhani watalii kutokea Arusha ni better zaidi kuliko Mara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…