TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Unapofanya kitovu kuwa sehemu as arusha kuna umuhimu wa kugawa mapato kwa mikoa inayochangia mapato kutoka kwenye hiyo sector, mfano mapato yote ya serengeti yanaingia hazina je, hazina wanafanya direct divide ya revenue kwa mikoa hiyo?.Serikali imeufanya mkoa wa Arusha Kama Kitovu Cha Utalii ( Makao Makuu ).
Ndio maana hata Manyara hainufaiki na vivutio vyake, mpaka Tanzanite mishe mishe zote Arusha wakati iko Manyara.