Maajabu 8 ya mkoa wa Mara

Maajabu 8 ya mkoa wa Mara

Natokea Mara tena mimi ni Mjita.. ila hii Sifa iko kwenye kabila moja tu nadhani.. wanaume toka kabila la Waluo(wajaluo) ndio Wanajua kupenda aisee,, Ila haya makabila mengine yaliyobaki ni mguu mmoja ndani mwingine nje zingua nikuzingue..

Sifa nyingine Asilimia kubwa ya wanawake wa mkoa huu wana record nzuri ya kuwa wavumilivu katika ndoa, ukimuoa toa msamiati wa kuachana kuzembe zembe.
hivi baraka the prince ni mjaluo?
 
3. Kuwepo kwa kanda maalumu (Mkoa wa kipolisi):
Huwezi kuamini hapa nchini ukitoa mkoa wa Dar es Salaam peke yake ila kanda maalumu nyingine inapatikana mkoa wa Mara tu tena kwenye wilaya mbili (Kanda maalumu ya Tarime-Rorya). Hakika hili ni ajabu ambalo linafikirisha na sababu zake yawezekana zinajulikana wazi au hazijulikani sana kwa wengi wetu, wen
Mkuranga kuna "kanda maalum pia"
 
Kuchambana kunawapa kichwa, huku unaleta umbea unafatwa unachezea kichapo alaf maisha yanaendelea.

Mwenzako kamaanisha kuchamba yaan kujisafisha/kuosha sehem za siri baada ya kujisaidia haja ndogo/kubwa na sio kuchambana kwa maneno.
 
Umesema Mara kuna makabila mengi lakini ukatoa taarifa za tohara ya Wakurya!
KITU CHA AJABU KWENYE TOHARA;
-Hutakiwi kutikisika wala kuonesha dalili yoyote ya kuogopa au kulia na ukifanya hivyo utadharaulika hadi kwa watoto wadogo.

-Baadhi ya maeneo mengi ni ruksa mtu yeyote kuhudhuria tohara isipokuwa shangazi, yaani chukulia mfano mwanaume unafanyiwa tohara basi jiandae kupata mashuhuda hadi wanawake eneo la tukio.

-Eneo la kufanyia tohara huitwa "Kibaga" japo maeneo mengine hutamkwa vingine.

-Kirombe ni sherehe kabla ya tohara na ngoma yake ya jadi ni, rirandi, rithungu n.k.

-Mwanaume ukitahiriwa hospitalini unahesabika kama mwanamke na utapata tabu sana kwa vijana wenzio.
 
Ni ujinga mkubwa uliofanywa na serikali zilizopita. Wachaga na watu wa kaskazini wameuhujumu sana mkoa wa Mara.

Kwa takwimu za Tanapa, zaidi ya 80% ya watalii wanaokuja nchi hii wanakuja kwa sababu ya mbuga ya serengeti, ukiona shilingi 100 ya utalii basi shilingi 80 inatokana na mbuga ya serengeti.

Serengeti ndio utalii wa nchi hii, bila serengeti hakuna utalii. Lakini cha ajabu serengeti hakuna miundombinu yoyote, hata chuo cha utalii au maliasili, yote haya yalifanyika makusudi kuhujumu mkoa wa Mara. Kuna kipindi hata makao makuu ya serengeti national park yalikua Arusha.

Kuna kipindi ilikua ujengwe uwanja wa ndege serengeti, wachaga wakasema ukijengwa uwanja wa ndege utau KIA, hivyo hiyo ikapigwa chini, Magufuli ndie kakomaa sasa wanajenga ila miaka yote huo uwanja ulikua unapingwa na kupigwa vita eti utadhoofisha KIA.

Juzi aliongea Msiba, kwenye magroup ya mkoa wa Mara hasa ya waliokua viongozi na ambao bado wapo walimshambulia sana ila alisema ukweli. Tumekua na wasomi na watu wenye madaraka wengi lakini hakuna walichosaidia mkoa wa Mara.
Mnapoongea haya mjue tu ngorongoro, Manyara, tarangire, Arusha na serengeti zipo ndani ya mkoa wa Arusha, usutegemee kulinganisha nao wakati wewe unamiliki kipande tu cha mbuga ambayo nao wanaweza sema ni mali yao sababu na jina lenyewe ni la kwao.
 
Washashi ni watu gani?
Waanchori na waanchoki wanagombea Nini?
Wanaitwa Warenchoka na Wanchari

Hawa wanapatikana upande wa Kaskazin ukiwa unaelekea Sirari. Kipindi naishi huko, niliwahi kuuliza chanzo cha ugomvi wao, nilistaajabu majibu.
Niliambiwa huwa wanagombea Mifugo(wizi wa mifugo) na kuibiana Bangi mashambani
 
Back
Top Bottom