Maajabu: Bata mla nyama tu

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2013
Posts
942
Reaction score
567
Hi great thinkers,

Mwaka jana mnamo January nilianza ufugaji wa bata wa kienyeji ili niongeze kipato cha familia.Nikanunua bata jike 5 na dume 3 nikaanza kuwatunza wakazaliana wengi.Nilipotaka mboga tamu sikusita kumkaanga mmoja kwa kitowewo.Utumbo niliukatakata na kuwatupia bata wale.

Tatizo bata mmoja dume amekuwa na tabia ya kula vifaranga wa kuku na bata Mara kwa Mara.Saa nyingine anawadonoa bata wenzie mgongoni na kunyofoa nyama kabisa.Halafu ndio dume ninae mtegemea kwa kuwagegeda majike kisawasawa.Hili lipoje kisayansi?
 
Mkuu acha maskhara....... anajua kugegeda kuliko wengine, umempimaje? Imebid nicheke tu
Anagegeda majike hata saba Kwa siku halafu anavizia tukiwa tunekaa na wife ndo anakimbiza na kugegeda mbele yetu shwain sana this duck
 
Anagegeda majike hata saba Kwa siku halafu anavizia tukiwa tunekaa na wife ndo anakimbiza na kugegeda mbele yetu shwain sana this duck
Huyo bata lazima kabila lake ni Msukuma, Wasukuma wana miungu mitatu, walwa (pombe), nyooo (Tukuyua.k.a pochi manyoya a.k.a papuchi) na nyama.
Kama unabisha muulize Nyani Ngabu mzee wa Ikungulyabhashashi
 
Anagegeda majike hata saba Kwa siku halafu anavizia tukiwa tunekaa na wife ndo anakimbiza na kugegeda mbele yetu shwain sana this duck
Huyo bata lazima kabila lake ni Msukuma, Wasukuma wana miungu mitatu, walwa (pombe), nyooo (Tukuyu a.k.a pochi manyoya a.k.a papuchi) na nyama.
Kama unabisha muulize Nyani Ngabu mzee wa Ikungulyabhashashi
 
Subiri mpaka siku ukiwa umejilaza kibarazani akule mapumbu yako ndo umchinje.
 
Huyo hali nyama Bali anawala wenzie kutokana Na kutafuta damu maana anahisi harufu ya damu. Cha msingi nenda kanunue damu iliyokaushwa then mpe hawezi kuwadonoa tena wenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…