UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Hi great thinkers,
Mwaka jana mnamo January nilianza ufugaji wa bata wa kienyeji ili niongeze kipato cha familia.Nikanunua bata jike 5 na dume 3 nikaanza kuwatunza wakazaliana wengi.Nilipotaka mboga tamu sikusita kumkaanga mmoja kwa kitowewo.Utumbo niliukatakata na kuwatupia bata wale.
Tatizo bata mmoja dume amekuwa na tabia ya kula vifaranga wa kuku na bata Mara kwa Mara.Saa nyingine anawadonoa bata wenzie mgongoni na kunyofoa nyama kabisa.Halafu ndio dume ninae mtegemea kwa kuwagegeda majike kisawasawa.Hili lipoje kisayansi?