Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 3,189
- 6,140
Huu ni moja kati ya chaguzi ambazo zimekuwa very useless na hasara kubwa kwa taifa. Fikiria wale wabunge waliogonga meza na kupongeza (wengi hiyo ndiyo kazi kuu wawapo bungeni) ufisadi uliofanyika baada ya kampuni ya itel kupewa tenda ya ununuzi wa sukari, Leo hii wanataka kurejea!
INASIKITISHA SANA.
INASIKITISHA SANA.