berylyn
JF-Expert Member
- Dec 26, 2021
- 877
- 2,618
Mungu kasema shetani alikuwa mwerevu kuliko hayawani wote [emoji3][emoji3][emoji3].Maajabu unayo wewe. Mungu mwenyewe anampenda shetani na kumsifia ujaambiwa kwenye vitabu vya dini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu kasema shetani alikuwa mwerevu kuliko hayawani wote [emoji3][emoji3][emoji3].Maajabu unayo wewe. Mungu mwenyewe anampenda shetani na kumsifia ujaambiwa kwenye vitabu vya dini.
Wewe kwenye kazi yako umetoboa International sio?Mondi huwa ni mzungu wa roho na ndio maana ana mafanikio,dogo Ali kiba huwa ana roho ya kichawi yule dogo na ndio maana hatoboi international.roho mbaya haijengi kwa sababu haina kiwanja
Uko vzr Bab mchungaji itabdi nikuteuwe uwe msemaji wa basataUnatakiwa kuwaza kwa mapana kabla hujaandika.
Unasema hamsaidii kivipi?
Unataka apewe pesa?.
Kumbuka kupost huo wimbo umetufanya na sisi tujue kuwa Kiba ametoa wimbo tuutafute.
Huu ni msaada mkubwa mno.
Diamond ana wafuasi wengi ndani na nje ya nchi zaidi ya watu 10m wanamfuatilia.
Hivyo amemtangazia kazi yake kwa watu zaidi ya 10m.
Katika hao wakidownload watu hata 300 hapo hajamsaidia?
Sioni Cha ajabu hapo,Kuna kukosana kunakupatana....huwez kuwa adui na mtu daima labda kama alitaka kukuua
🤣🤣🤣🤣 Mkorofi wewe 🙌Au akunyime kitu ulichoomba[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kwahiyo mkuu katika Tanzania nzima msanii mwenye uzungu wa roho ni Mondi tu peke yake? Au una mfano mwingine wa msanii alietoboa international kwa sababu tu ana roho ya kizungu?Mondi huwa ni mzungu wa roho na ndio maana ana mafanikio,dogo Ali kiba huwa ana roho ya kichawi yule dogo na ndio maana hatoboi international.roho mbaya haijengi kwa sababu haina kiwanja
Kwanini
Umeongea vizuri Sana mkuuKwahiyo mkuu katika Tanzania nzima msanii mwenye uzungu wa roho ni Mondi tu peke yake? Au una mfano mwingine wa msanii alietoboa international kwa sababu tu ana roho ya kizungu?
Inabidi uelewe katika kazi/biashara kila mmoja waga ana malengo yake, na ili kuyafikia hayo malengo lazima kuna vitu utalazimika kuvifanya
Sasa Mondi kila mtu anaona vile anawekeza katika promotion ya kazi zake, connection zake, investment,crew yake ni wazi kuwa yeye ana lengo la kutoboa international
Mafanikio yana definition tofauti sana, wewe kwa maisha yako inawezekana Unaonekana/unajiona umefanikiwa, ila ikawa tofauti kwa mtu mwingine ambae mpo katika level moja ya uchumi
Kwahiyo kwa kumuangalia tu Alikiba na aina ya mziki anaoufanya, investment, connection zake, promotion zake sio kweli kwamba anataka kwenda huko international kama baadhi yenu mnavomlazimisha
Alikiba ni wazi karidhika na hapo alipofikia na ndomana hatumii nguvu kubwa katika kazi yake ya mziki, inawezekana nguvu kubwa anaitumia katika kazi ingine ndomana mziki anaonekana anafanya kama ni passion tu na sio biashara kama ilivo kwa Diamond
Kama kuwa Mzungu wa roho ndio kigezo cha kufika international basi angeanza Kwanza kufika Dully akifatiwa na Mr blue kabla ya msanii mwingine yoyote yule hapa Tanzania
Diamond anastahili kuwa hapo alipo Kwa sababu amepapigania sana tangu ametoka kwenye game na wala sio issue ya uzungu wa Roho wala uswahili wa Nafsi
Huwa anaangalia adandie nyota gani kama mwewe.Ni zamu ya kiba kudandiwa.MWANZO WA NGOMA NI LELE.Mondi huwa ni mzungu wa roho na ndio maana ana mafanikio,dogo Ali kiba huwa ana roho ya kichawi yule dogo na ndio maana hatoboi international.roho mbaya haijengi kwa sababu haina kiwanja
TrashAli Kiba akikubali tu kupatana na Mond amekwisha.
Na siku Mond akifa na safar ya Kiba kimzik inaishia hapo.
Kumbuka Ray Kigosi alivyokufa kisanaa baada ya Kanumba kufa.
Umetoa mifano isiyoendana kabisa, uzungu wa roho lazima uambatane na goals za artist, talent, determinations, intelligence, strategies na aggressiveness kwenye kupambania kufika international. Dully na Bayser qualities hizo hawana na pia si kweli kwamba Kiba hataki kutoboa international bali naye hana qualities za kumuwezesha kutoboa wala hana management yenye uwezo, connections na aggressiveness ya kumfikisha huko.Kwahiyo mkuu katika Tanzania nzima msanii mwenye uzungu wa roho ni Mondi tu peke yake? Au una mfano mwingine wa msanii alietoboa international kwa sababu tu ana roho ya kizungu?
Inabidi uelewe katika kazi/biashara kila mmoja waga ana malengo yake, na ili kuyafikia hayo malengo lazima kuna vitu utalazimika kuvifanya
Sasa Mondi kila mtu anaona vile anawekeza katika promotion ya kazi zake, connection zake, investment,crew yake ni wazi kuwa yeye ana lengo la kutoboa international
Mafanikio yana definition tofauti sana, wewe kwa maisha yako inawezekana Unaonekana/unajiona umefanikiwa, ila ikawa tofauti kwa mtu mwingine ambae mpo katika level moja ya uchumi
Kwahiyo kwa kumuangalia tu Alikiba na aina ya mziki anaoufanya, investment, connection zake, promotion zake sio kweli kwamba anataka kwenda huko international kama baadhi yenu mnavomlazimisha
Alikiba ni wazi karidhika na hapo alipofikia na ndomana hatumii nguvu kubwa katika kazi yake ya mziki, inawezekana nguvu kubwa anaitumia katika kazi ingine ndomana mziki anaonekana anafanya kama ni passion tu na sio biashara kama ilivo kwa Diamond
Kama kuwa Mzungu wa roho ndio kigezo cha kufika international basi angeanza Kwanza kufika Dully akifatiwa na Mr blue kabla ya msanii mwingine yoyote yule hapa Tanzania
Diamond anastahili kuwa hapo alipo Kwa sababu amepapigania sana tangu ametoka kwenye game na wala sio issue ya uzungu wa Roho wala uswahili wa Nafsi
Huu ndiyo ussnii tunaoutakaSalaam Wakuu,
Leo katika pitapita zangu mtandaoni nimekutana kwenye Insta Story ya Diamond amepost wimbo wa Alikiba.
Je, uhasama wao umeisha au?
View attachment 2538098