Maajabu haya ya Pasaka hii yamenitokea peke yangu au?

Nimehudhuria Nyumba takribani Nne ( 4 ) kwa ' Maakuli ' lakini cha Kushangaza kwa mwaka huu ' Mapilau ' yote niliyoyapakuwa sijakuta hata ' Nyama ' na nikaja ' kubahatisha ' katika ' Pilau ' la mwisho na tena ' Nyama ' yenyewe moja tu.

Kama hii haitoshi katika Pasaka zote tukialikwa wakati wa Vyakula huwa kunakuwa kuna Watu wameandaliwa ' Kutupakulia ' Chakula ila safari hii kote huko nilikohudhuria unajipakulia mwenyewe Wapakuwaji hawapo ila ' Nyama ' ni za kutafuta sana huku ' Pilipili ' ya Kusagwa ikiwa ndiyo nyingi sana mezani.

Hii inaashiria nini?

Nawasilisha.
juu
Watu wamekuwa vegetarians
 
Watanzania tutembee vifua mbele kweli kweli uchumi umekua
 
Nimehudhuria Nyumba takribani Nne ( 4 ) kwa ' Maakuli ' lakini cha Kushangaza kwa mwaka huu ' Mapilau ' yote niliyoyapakuwa sijakuta hata ' Nyama ' na nikaja ' kubahatisha ' katika ' Pilau ' la mwisho na tena ' Nyama ' yenyewe moja tu.

Kama hii haitoshi katika Pasaka zote tukialikwa wakati wa Vyakula huwa kunakuwa kuna Watu wameandaliwa ' Kutupakulia ' Chakula ila safari hii kote huko nilikohudhuria unajipakulia mwenyewe Wapakuwaji hawapo ila ' Nyama ' ni za kutafuta sana huku ' Pilipili ' ya Kusagwa ikiwa ndiyo nyingi sana mezani.

Hii inaashiria nini?

Nawasilisha.

Pika kwako tuje na utuandalie wakutunawisha uonyeshe mfano
 
Pole sana...

Watu wanauchungu sana...

Nyama imekua anasa siku hizi...

Alafu usisahu mikusanyiko haitakiwi bila kibali...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom